Hizi hapa Nafasi za kazi ROA December 2024. Ruvuma Orphans Association (ROA) ni shirika lisilo la kiserikali lililosajiliwa tarehe 6 Aprili 2001, na lenye namba ya usajili 10883. Shirika hili linaendesha miradi mbalimbali ya kusaidia jamii, hasa makundi yaliyo pembezoni kama watoto wanaoishi...