Kwa niaba ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inakaribisha Watanzania wenye sifa na uwezo unaohitajika kuomba nafasi kumi (10) za kazi zilizotajwa hapa chini.
NAFASI: MSAIDIZI WA HUDUMA KWA WATEJA DARAJA LA II – NAFASI 10
MWAJIRI...