Hizi hapa Nafasi za kazi Delegation ya Umoja wa Ulaya (EU) December 2024 nchini Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dar es Salaam, inatafuta wafanyakazi.
Sisi ni Umoja wa Ulaya (EU), ushirikiano wa kiuchumi na kisiasa unaojumuisha nchi 27 za Ulaya. EU ina jukumu kubwa kwenye masuala ya...