Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi ICGLR Utumishi December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye siffa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo.
Kwa niaba ya Sekretarieti ya Mkutano wa Kimataifa wa Kanda ya Maziwa Makuu (ICGLR), Ofisi ya Rais – Menejimenti ya...