ajira za wakusanya mapato

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. Nafasi 40 za Ajira ya Mkataba ya Ukusanyaji Mapato | Ajira mpya za Kukusanya Ushuru December 2024

    Nafasi 40 za Ajira ya Mkataba ya Ukusanyaji Mapato | Ajira mpya za Kukusanya Ushuru December 2024

    Ndugu wananchi Forum, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Geita anapenda kuwataarifu wananchi wote wenye sifa, nafasi Arobaini (40) za Ajira ya Mkataba ya ukusanyaji Mapato katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita Ajira mpya za Kukusanya Ushuru December 2024. Sifa za mwombaji Awe raia wa Tanzania...
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom