TAHA ni shirika la sekta binafsi linalojumuisha wanachama mbalimbali, likiwa na jukumu la kukuza na kuendeleza sekta ya kilimo cha bustani (maua, matunda, mboga, viungo, mimea ya dawa, na mbegu za kilimo cha bustani) nchini Tanzania. Lengo kuu la TAHA ni kuboresha ukuaji na ushindani wa sekta...
Hizi hapa Nafasi za kazi zilizo tangazwa na Kampuni ya AKO Group Tanzania - Ajira Mpya za Makampuni kwa watanzania wote wenye nia na sifa za kutuma maombi ya kazi.
AKO GROUP LIMITED ilianzishwa jijini Dar es Salaam mwaka 1991 na ni kampuni tanzu ya SF Group of Companies Limited. Kampuni hii...