Azam FC imechukua hatua kali dhidi ya Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe, kwa madai ya kuichafua jina la klabu hiyo. Kamwe amepigwa faini ya shilingi bilioni 10 kutokana na kauli alizotoa akidai kuwa Azam FC huzima taa za uwanja kila mshambuliaji wao, Prince Dube, anaposhika mpira na kuelekea...