Fomu ya Kujiunga na Chuo cha VETA Arusha VTC. Nafasi yako itapewa Mtanzania mwingine ukishindwa kufika chuoni ndani ya wiki mbili (2) kuanzia tarehe ya kufungua chuo. Unatakiwa kufika chuoni kabla ya saa 10:00 Alasiri.
Muda wa Mafunzo
Mafunzo yamepangiliwa katika hatua tatu:
Hatua ya...