Leo kampuni ya azam kupitia AzamPay wametangaza nafasi za kazi kwa watanzania wote wenye nia, ari na sifa waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo 30 November 2024.
Soma maelezo chini kwenye picha kisha bonyeza hapa kutuma maombi
Kiungo mahiri wa mpira kutoka Zanzibar, Feisal Salum Abdalah, maarufu kama Fei Toto, ameonyesha dalili za kuachana na Azam FC, klabu aliyokuwa akiitumikia kwa muda sasa. Japokuwa uongozi wa Azam umejaribu kumshawishi aongeze mkataba wake unaoisha mwakani, Feisal anaonekana kutamani changamoto...