Wanannchi, Hizi hapa Ajira Mpya 13 Benki Kuu ya Tanzania (BOT) December 2024. Benki Kuu ya Tanzania, ambayo ni Benki Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ilianzishwa kupitia Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 1965 na kuanza rasmi kazi tarehe 14 Juni 1966. Katika miaka iliyopita, sheria...
Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi 41 Benki Kuu ya Tanzania Ajira Mpya BOT December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye siffa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo.
Ajira mpya BOT
Benki Kuu ya Tanzania, ambayo ni Benki Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa...
Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kuhusu zoezi la kuondoa kwenye mzunguko noti za zamani za shilingi ishirini (20), mia mbili (200), mia tano (500), elfu moja (1000), elfu mbili (2000), elfu tano (5000) na elfu kumi (10000) kwa matoleo ya mwaka 1985 hadi mwaka 2003, na noti ya...
Benki Kuu ya Tanzania inayo furaha kubwa kuwataarifu wananchi kuwa Mfuko wa Mwalimu Julius K. Nyerere Memorial Scholarship umetoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi bora kwa mwaka wa masomo wa 2024/25.
Mfuko huu umetoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi bora wa kike na kiume wa Kitanzania ili...