Huu hapa msimamo wa kundi la Simba sports club Katika Michuano ya Kombe la shirikisho barani Africa CAFCC.
Simba akiwa anaongoza kundi hilo akiwa na points Tisa na michezo minne huku bravo do Maquis wakifuatia nafasi ya pili akiwa na alama Sita sawa na Cs Constantine wakiwa wamecheza michezo...
Jean Charles Ahoua kwenye kombe la shirikisho Afrika, amehusika kwenye magoli manne (04) hadi hivi sasa.
Ametoa pasi za magoli (02) huku akifunga magoli mawili hadi hivi sasa 🔥 kwenye eneo la takwimu jamaa ni hatari sana 🙌
Remember the name : Jean Charles Ahoua ✅
Michezo ya mapema kabisa Leo Kwenye Kombe la shirikisho Africa CAFCC Imetamatika huku Simba Mnyama akipata Ushindi wake wa kwanza katika ardhi ya mwarabu nchini Tunisia ambapo ameondoka na Ushindi wa Goli Moja Kwa bila Dhidi ya Cs Sfaxien,
Huku Stellenbosch FC wakishinda mbili bila Dhidi ya CD...
Michezo ya mapema Leo Kombe la shirikisho Africa CAFCC imefika mapumziko huku Simba wakiongoza ugenini Dhidi ya Cs Sfaxien ya Tunisia, huku Stellenbosch FC wakiwa suruhu Dhidi ya CD Lunda sul, Asc Jaraaf wakiwa sale ya bila bila Dhidi ya Orapa United huku Asec mimosa akiongoza Goli Moja Dhidi ya...
𝐌𝐂𝐇𝐄𝐙𝐎 𝐍𝐈 𝐌𝐀𝐏𝐔𝐌𝐙𝐈𝐊𝐎
Well done Lunyasi dakika 45 bora mmecheza 👏 mikakati sahihi timu ikiwa na mipira (pasi sahihi za mbele na uharaka kwenye matukio muhimu ✅)
Goli limehusisha pasi tatu tu!.. hawa Cs Sfaxien ni kama wamepoteana hivi hasa wakifika kwenye nusu ya Simba wanakuwa na idadi ndogo...
SIMBA 🇹🇿 wakiwa Ugenini mechi 5 za mwisho CAF
❌ Wydad 1-0 Simba
🤝 Asec 0-0 Simba
❌ Al Ahly 2-0 Simba
🤝 Ahli Tripoli 0-0 Simba
❌ Constatine 2-1 Simba
Leo Vs Cs sfaxien..?