Hii hapa Fomu ya Kujiunga na Chuo cha VETA TANGA RVTSC, Ili kufanikisha mafunzo ya ufundi kila mwanafunzi anatakiwa kufuata sheria zifuatazo:-
Kila mwanafunzi anatakiwa kufika chuoni saa 1:30 asubuhi. Hii ina maana ifikapo saa 1:30 wanafunzi wote wawe wameshafika chuoni. Adhabu kali itatolewa...
Hizi hapa Kozi zinzotolewa Chuo cha VETA TANGA RVTSC na Ada zake.
Fani zinazotolewa chuo cha Veta Tanga
Na.Jina la KoziAinaMudaNgaziAda (TZS)
1Ufundi MitamboKozi NdefuMiaka 2II120,000
2MapishiKozi NdefuMiaka 2II120,000
3UkatibuKozi NdefuMiaka 2II120,000
4Ushonaji na MavaziKozi...