Fomu ya Kujiunga na Chuo cha VETA Arusha VTC. Nafasi yako itapewa Mtanzania mwingine ukishindwa kufika chuoni ndani ya wiki mbili (2) kuanzia tarehe ya kufungua chuo. Unatakiwa kufika chuoni kabla ya saa 10:00 Alasiri.
Muda wa Mafunzo
Mafunzo yamepangiliwa katika hatua tatu:
Hatua ya...
Hii hapa Orodha ya Vyuo vya VETA na Ufundi Stadi Tanzania Ada za kila Chuo PDF 2025/2026 vinavyotoa mafunzo mbalimbali nchini kwa kutoa wataalamu watakao kwenda kusaidia Taifa kwa ujumla katika sehemu mbalimbali.
Orodha ya Vyuo vya VETA
Ifuatayo ni orodha ya vyuo vya VETA vilivyogawanywa...