Klabu ya soka ya Kengold imemsajili mchezaji wa kimataifa kutoka Ghana Bernard Morrison kama mchezaji huru kwa mkataba wa miezi sita.
Morrison ambaye alikuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu akiuguza majeraha wakati akiitumikia FAR Rabart ya Nchini Morocco, sasa yuko fiti kuwatumikia wachimba...
Dirisha dogo la usajili litafungwa Januari 15 mwakani
Mpaka sasa Fadlu Davids ameuliza kama kuna uwezekano wa kupatikana Kiungo mkabaji asilia mmoja mwenye ubora sawa au zaidi ya Yusuf Kagoma
Simba wanafikiria kufungua mazungunzo na Kiungo mkabaji wa Timu ya Taifa Benin, (26)
Kocha Fadlu...