Hizi hapa Nafasi za kazi 40 Kampuni ya E360 Tanzania December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo kwa kufata vigezo vilivyo ainishwa katika tangazo hili.
E360 ni kampuni ya Mafunzo na Ushauri inayotoa suluhisho za kielimu na kihandisi...