Ahoua Charles ndiye mchezaji wa kwanza kufunga mabao 5+ na kutoa assists 5+ katika NBC Premier League msimu huu.
◉ 14 - Games
◉ 07 - Goals
◉ 05 - Assists
◉ 12 - G/A
Wachezaji wenye G/A nyingi zaidi katika Nbc Premier League 2024|25 hadi sasa .
◉ 13 — Feisal Salum 🇹🇿
◉ 12 — Ahoua Charles 🇮🇪
◉...
Kiungo mahiri wa mpira kutoka Zanzibar, Feisal Salum Abdalah, maarufu kama Fei Toto, ameonyesha dalili za kuachana na Azam FC, klabu aliyokuwa akiitumikia kwa muda sasa. Japokuwa uongozi wa Azam umejaribu kumshawishi aongeze mkataba wake unaoisha mwakani, Feisal anaonekana kutamani changamoto...