Hii hapa Fomu ya Kujiunga na Chuo cha VETA TANGA RVTSC, Ili kufanikisha mafunzo ya ufundi kila mwanafunzi anatakiwa kufuata sheria zifuatazo:-
Kila mwanafunzi anatakiwa kufika chuoni saa 1:30 asubuhi. Hii ina maana ifikapo saa 1:30 wanafunzi wote wawe wameshafika chuoni. Adhabu kali itatolewa...