Hizi hapa Fomu za Kujiunga na VETA 2025 PDF za kila Chuo VTC Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA).
FOMU ZA MAELEZO YA KUJIUNGA KATIKA VITUO VYA UFUNDI STADI VETA 2025
1. Mwanzo wa Muhula
Mafunzo ya mwaka 2024 yataanza rasmi Jumatatu, tarehe 15 Januari 2024. Ni muhimu kufika chuoni...
Hizi hapa Sifa za kujiunga na VETA imeboresha utaratibu wa kujiunga ili kuhakikisha waombaji wanapata fursa za kuendeleza ujuzi wao kwa urahisi na uwazi. Huu hapa ni mwongozo wa kina kwa wale wanaotaka kupata mafunzo katika vyuo vinavyomilikiwa na VETA:
Sifa za kujiunga VETA
Umri ni kuanzia...