Form five Selection 2025 Uchaguzi au waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025/2026 unafanywa na TAMISEMI kwa wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne na kufaulu Mtihani wa Taifa (CSEE). Mchakato huu unawapangia wanafunzi shule za sekondari za A-Level au vyuo vya ufundi kulingana na alama zao, mapendeleo...
Hii hapa orodha ya Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025 na shule walizopangiwa kujiunga na form five kwa mwaka 2025, wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne na kufaulu Mtihani wa Kitaifa (CSEE) huchaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano katika shule za sekondari za umma au za kibinafsi...