gamondi

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. TAARIFA: YANGA SC Yatangaza Kuachana na Kocha Mkuu Angel Miguel Gamondi na Kocha Msaidizi Moussa..

    TAARIFA: YANGA SC Yatangaza Kuachana na Kocha Mkuu Angel Miguel Gamondi na Kocha Msaidizi Moussa..

    Uongozi wa Young Africans Sports Club (Yanga) umetangaza rasmi kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu ya kwanza, Angel Miguel Gamondi, pamoja na Kocha Msaidizi, Moussa Ndaw. Taarifa hii imetolewa leo, tarehe 14 Novemba 2024. Kupitia taarifa yao, Yanga imewashukuru makocha hao kwa mchango wao...
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom