geita

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. Nafasi 40 za Ajira ya Mkataba ya Ukusanyaji Mapato | Ajira mpya za Kukusanya Ushuru December 2024

    Nafasi 40 za Ajira ya Mkataba ya Ukusanyaji Mapato | Ajira mpya za Kukusanya Ushuru December 2024

    Ndugu wananchi Forum, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Geita anapenda kuwataarifu wananchi wote wenye sifa, nafasi Arobaini (40) za Ajira ya Mkataba ya ukusanyaji Mapato katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita Ajira mpya za Kukusanya Ushuru December 2024. Sifa za mwombaji Awe raia wa Tanzania...
  2. Orodha ya Majina ya Walioitwa kazini Geita Ajira za ICAP December 2024

    Orodha ya Majina ya Walioitwa kazini Geita Ajira za ICAP December 2024

    Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kazini Geita Ajira za ICAP December 2024. Katibu Tawala Mkoa wa Geita anapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi mbalimbali za kazi waliofanya usaili tarehe 03 Disemba 2024 kuwa matokeo ya waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa kwenye tangazo hili...
  3. G

    Ajira Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Geita 01 Novemba 2024

    Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Geita Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024. Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya...
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom