gift

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. ELIE Mpanzu Kuitumikia Simba lini?

    ELIE Mpanzu Kuitumikia Simba lini?

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally ametoa ufafanuzi kuwa dirisha dogo la usajili la CAF litafunguliwa Januari 01 na kufungwa Januari 31 2025 wakati dirisha dogo la TFF likifunguliwa Disemba 16 na kufungwa Januari 15 2025. Hivyo Mpanzu ataanza kuitumikia Simba Ligi Kuu ya NBC...
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom