GIZ ni shirika linalomilikiwa na serikali ya Shirikisho la Ujerumani, linalofanya kazi duniani kote kusaidia serikali ya Ujerumani kutimiza malengo yake katika ushirikiano wa kimataifa. Shirika hili hutoa huduma zenye tija, zinazolenga maendeleo endelevu kulingana na mahitaji ya wadau wake...
GIZ ni shirika linalomilikiwa na serikali ya Ujerumani na linafanya kazi kote duniani, likisaidia Serikali ya Ujerumani kufanikisha malengo yake ya ushirikiano wa kimataifa. Shirika hili hutoa huduma zinazolenga mahitaji, zilizobuniwa maalum, na zenye ufanisi kwa maendeleo endelevu duniani kote...