Ifakara Health Institute (IHI) – au kwa kifupi Ifakara – ni taasisi inayoongoza katika utafiti wa afya barani Afrika, ikiwa na rekodi nzuri ya kuendeleza, kujaribu na kuthibitisha uvumbuzi kwa ajili ya afya. Tunaongozwa na majukumu ya kimkakati ya msingi ya utafiti, mafunzo na huduma. Ifakara...