EngenderHealth ina ndoto ya dunia yenye usawa wa kijinsia, ambako kila mtu anafikia haki zake za afya ya uzazi na afya ya kijinsia. Tunaamini kuwa hili ni muhimu ili kila mtu aweze kufikia uwezo wake kamili. Ili kufanikisha ndoto hii, tunatekeleza programu za hali ya juu zinazohakikisha usawa wa...