kada za afya

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. Nafasi za Ajira 400 za Mkataba kwa Kada za Afya December 2024/2025 | Ajira Mpya Tamisemi 2024

    Nafasi za Ajira 400 za Mkataba kwa Kada za Afya December 2024/2025 | Ajira Mpya Tamisemi 2024

    Hizi hapa Nafasi za Ajira 400 za Mkataba kwa Kada za Afya December 2024/2025 | Ajira Mpya Tamisemi 2024. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na Wizara ya afya inaendelea na utekelezaji wa mpango wa uwekezaji katika afya ya mama na mtoto nchini Tanzania yaani...
  2. S

    Walioitwa Kazini Utumishi Kada za Afya Leo 21 Octoba 2024

    Leo, 21 Octoba 2024 PSRS wametangaza orodha ya majina ya Walioitwa Kazini Utumishi Kada za Afya. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 30-09-2023 na tarehe 12-09-2024 kuwa matokeo ya...
  3. Viwango Vya Mishahara Serikalini Utumishi MDAs & LGAs, TGOS, TGS, TGTS, TGHOS

    Viwango Vya Mishahara Serikalini Utumishi MDAs & LGAs, TGOS, TGS, TGTS, TGHOS Aprili 2025

    Hivi hapa Viwango Vya Mishahara Serikalini Utumishi MDAs & LGAs, TGOS, TGS, TGTS, TGHOS, kada za Afya, Kada za Walimu pamoja na taasisi mbalimbali nchini Tanzania mshahara kwa Aprili 2025. Mshahara ni malipo ya fedha anayopokea mfanyakazi kutoka kwa mwajiri wake kwa kufanya kazi kwa muda...
  4. S

    Walioitwa kwenye Usaili Kada za Afya Utumishi leo 20 Octoba 2024

    Leo PSRS Wametangaza orodha ya majina ya Walioitwa kwenye Usaili Kada za Afya Utumishi leo 20 Octoba 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 22-07-2024 na tarehe 12-09-2024 kuwa matokeo...
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom