Jumla ya wanafunzi 974,332 waliohitimu Elimu ya Msingi mwaka 2024 tayari wamechaguliwa na wamepangiwa Shule za Sekondari na wanatarajiwa kuanza masomo yao Januari 2025. Hii ni hatua muhimu inayolenga kuhakikisha kila mwanafunzi anapata fursa ya kuendelea na elimu ya sekondari, hatua inayochangia...