Hii hapa orodha ya Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025 na shule walizopangiwa kujiunga na form five kwa mwaka 2025, wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne na kufaulu Mtihani wa Kitaifa (CSEE) huchaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano katika shule za sekondari za umma au za kibinafsi...