Kikosi chetu cha Simba Sc kinapambana leo na CS Sfaxien – Kombe la Shirikisho Afrika
Leo saa moja usiku, kikosi cha Simba kitashuka dimbani katika Uwanja wa Hammadi Agrebi, Tunis, kupambana na CS Sfaxien katika mchezo wa nne wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Ni mechi ya ugenini...
Kocha Mkuu wa klabu ya Simba sports club Fadlu Davids ameweka wazi kuwa mchezo wa leo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika (𝗧𝗼𝘁𝗮𝗹𝗘𝗻𝗲𝗿𝗴𝗶𝗲𝘀𝗖𝗔𝗙𝗖𝗖) dhidi ya CS Sfaxien utakuwa mgumu kutokana na ubora wa wapinzani
Kocha Fadlu amesema pamoja na CS Sfaxien kufanya mabadiliko kwenye benchi la...
Mechi ya Simba SC dhidi ya KenGold inatarajiwa kuwa ya kusisimua sana! Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, watakuwa wenyeji wa KenGold kutoka Mbeya kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge. Huu ni mchezo wa Ligi Kuu, na Simba SC wanaingia wakiwa na morali ya juu baada ya ushindi wa dakika za mwisho dhidi...
Mechi inayosubiriwa kwa hamu kati ya Simba SC ya Tanzania na CS Sfaxien ya Tunisia kwenye Kombe la Shirikisho la CAF ni zaidi ya pambano la pointi tatu. Huu ni mchezo wa heshima, historia, na nafasi ya kuonyesha ubabe kwenye soka la Afrika. Mashabiki wa soka barani Afrika wanatarajia burudani ya...
Simba SC wanajiandaa kwa mechi muhimu ya CAF Confederation Cup dhidi ya CS Constantine ya Algeria, huku macho yote yakiwa kwa kiungo mahiri Brahim Dib. Dib amekuwa moto msimu huu, akifunga mabao matano kwenye mechi 11 za ligi, pamoja na hat-trick ya kuvutia dhidi ya JS Kabylie, na pia kufunga...