kikosi cha yanga leo

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. Mapumziko: Young SC 1️⃣ 🆚 TP MAZEMBE 1️⃣ TotalEnergiesCAFCL 2024/2025

    Mapumziko: Young SC 1️⃣ 🆚 TP MAZEMBE 1️⃣ TotalEnergiesCAFCL 2024/2025

    Mechi nzuri ya kuitazama, Yanga wanamiliki mali vizuri lakini wakifika kwenye nusu ya Mazembe wanakuwa na idadi ndogo ya wachezaji + Tp wanazuia vizuri wakiwa kwenye “Mid block” : Yanga wanapata runners wengi eneo la mbele na wapo sharp kwenye kuachia mipira Wanachokifanya Mazembe wakati...
  2. Kikosi Cha Yanga Leo Dhidi Ya Tp Mazembe CAFCL 2024/2025

    Kikosi Cha Yanga Leo Dhidi Ya Tp Mazembe CAFCL 2024/2025

    Kikosi cha YANGA SC dhidi ya Mazembe 🇲🇱 Diarra 🇹🇿 Kibwana 🇨🇩 Boka 🇹🇿 Bacca 🇹🇿 Job 🇺🇬 Aucho 🇹🇿 Mudathir 🇧🇫 Aziz Ki 🇿🇼 Dube 🇹🇿 Mzize 🇨🇮 Pacome
  3. Kikosi cha YOUNG AFRICAN'S Vs SINGIDA FOG Leo Tarehe 29 Desemba 2024 NBC Premier League

    Kikosi cha YOUNG AFRICAN'S Vs SINGIDA FOG Leo Tarehe 29 Desemba 2024 NBC Premier League

    Kikosi Cha Young African's kinachoanza Dhidi ya Singida Fountain Gate
  4. Kikosi cha YOUNG AFRICAN'S Vs SINGIDA FOG Leo Tarehe 29 Desemba 2024 NBC PL

    Kikosi cha YOUNG AFRICAN'S Vs SINGIDA FOG Leo Tarehe 29 Desemba 2024 NBC PL

    KIKOSI Cha Young African's vs Singida Fountain Gate Leo 29 December 2024 Klabu ya Yanga itakuwa nyumbani Leo kucheza mchezo unaofuata wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Fountain Gate . Mchezo huo utapigwa December 29, 2024 kwenye Uwanja wa KMC Complex Mkoani Dar es salaam. Kuelekea mchezo...
  5. Kikosi cha YANGA SC Vs DODOMA JIJI Leo Tarehe 25 December 2024 Krismasi

    Habari za Michezo Kikosi cha YANGA SC Vs DODOMA JIJI Leo Tarehe 25 December 2024 Krismasi

    Kikosi kazi cha leo dhidi ya Dodoma Jiji🔰💪🏽
  6. Kikosi Cha Yanga vs Tanzania Prison's Leo 22 December 2024

    Kikosi Cha Yanga vs Tanzania Prison's Leo 22 December 2024

    Klabu ya Young Africans itacheza mchezo unaofuata dhidi ya Tanzania Prisons FC, ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa tarehe 22 December 2024 kwenye Uwanja wa KMC Complex, Jijini Dar Es Salaam Kuanzia saa 10:00 jioni.
  7. Kikosi cha YANGA SC Vs TP MAZEMBE Leo Tarehe 14 December 2024 Hiki Hapa

    Kikosi cha YANGA SC Vs TP MAZEMBE Leo Tarehe 14 December 2024 Hiki Hapa

    Kikosi cha YANGA SC Vs TP MAZEMBE Leo Tarehe 14 December 2024 Hiki Hapa Kikosi kinachoanza dhidi ya TP Mazembe
  8. Kikosi cha SIMBA SC Vs CS Constantine Leo Tarehe 08 December 2024 Mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika Hiki Hapa

    Habari za Michezo Kikosi cha SIMBA SC Vs CS Constantine Leo Tarehe 08 December 2024 Mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika Hiki Hapa

    Kikosi cha SIMBA SC Vs CS Constantine Leo Tarehe 08 December 2024 Mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika Hiki Hapa hatua ya makundi. Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, ameweka wazi kuwa timu yake itaingia uwanjani kwa mpango maalum, huku wapinzani wao wakikumbwa na changamoto ya kuwakosa wachezaji...
  9. Kikosi cha YANGA SC Vs MC ALGER Leo Tarehe 07 December 2024 Mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika Hiki Hapa

    Habari za Michezo Kikosi cha YANGA SC Vs MC ALGER Leo Tarehe 07 December 2024 Mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika Hiki Hapa

    Kikosi cha YANGA SC Vs MC ALGER Leo Tarehe 07 December 2024 Mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika Hiki Hapa. Mashindano haya yanachangia si tu sifa ya klabu, bali pia kukuza hadhi ya soka la Tanzania katika ngazi ya kimataifa. Mashabiki wa soka wanashauriwa kufuatilia mechi hii moja kwa moja, ikiwa...
  10. KIKOSI CHA YANGA LEO VS KINACHOANZA LEO DHIDI YA MC ALGER MECHI YA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DESEMBER 2024

    Habari za Michezo KIKOSI CHA YANGA LEO VS KINACHOANZA LEO DHIDI YA MC ALGER MECHI YA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DESEMBER 2024

    HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA LEO VS KINACHOANZA LEO DHIDI YA MC ALGER MECHI YA LIGI YA MABINGWA AFRIKA TAREHE 7 DESEMBER 2024 Mambo vipi mwanamichezo, ni wakati mwingine kabisa tujadili au kujuzana yale yote yanayo endelea ndani ya kikosi cha Yanga SC kutoka kule Algeria, Tunafahamu ya kwamba...
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom