Baada ya Yanga kupata “Turning Point” yao pale Lubumbashi dhidi ya Tp Mazembe kwenye CAFCL leo wanarudi tena wakiwa nyumbani dhidi ya wababe hao hao kutoka DR Congo.
Sead Ramovic ametambulisha system mpya ya uchezaji ndani ya Yanga kwenye michezo mitatu ya hivi karibuni : shape ya 4-2-3-1 kama...
Rais wa Tp mazembe MOÏSE KATUMBI amewaahidi wachezaji wake dollar 💰$100,000 ambazo ni sawa na Tshs milioni (240,090,900.2695) kwa kila bao litakalofungwa dhidi ya Young AfricansSC leo Jumamosi 04 January 2025.
"...Sisi wachezaji wetu ndio ambao watakaotubakiza kwenye ramani ya Champions League na wao ndio watakaotutoa kwenye ramani kwa hiyo ufunguo upo kwao watuweke kwenye mashindano kwa kushinda au kututoa kwa kupoteza, uzuri na wachezaji wametoa ahadi yao kuwa watapigana kushinda."- Eng. Hersi Said...
Yanga Leo Dimbani kusaka Alama tatu ambazo zitafufua matumaini yao ya kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Africa CAFCL, Mchezo utachezwa Benjamin mkapa Tanzania majira ya saa kumi jioni.
Clatous Chama na Attohoula Yao watakosekana kwenye mechi ya keshoCAF CL dhidi ya Tp...
Michuano ya Klabu Bingwa Africa CAFCL inaanza Leo katika Ungwe ya Nne.
Cr Belouizdad vs Al Ahly Sc Leo (Ijumaa) 10:00 PM
Yanga SC vs Tp Mazembe Kesho (Jumamosi) 04: 00 PM
Orlando pirates vs Stade D'Abidjan Kesho (Jumamosi) 07:00 PM
As Far Rabati vs As Maniema Kesho (Jumamosi) 10:00 PM
Raja...
Ni kweli Yanga ni miongoni mwa timu 6 ambazo hazijafanikiwa kupata ushindi wowote kwenye michuano ya CAF Interclub.
Ni kweli Yanga wana alama moja mkiani.
Lakini, Sidhani kama Yanga wakishindwa kufuzu hatua ya robo fainali ikuwa story kubwa sana...Na sioni kama kuna ulazima wa matokeo hayo...