Chuo cha Taifa cha Utalii kinatoa kozi fupi mbalimbali zinazohusiana na biashara za utalii na ukarimu. Kozi hizi ni za kina na maalumu, zikiwa na lengo la kuboresha na kusasisha maarifa na ujuzi wa wataalamu waliopo tayari kwenye taaluma zao, pamoja na viongozi waandamizi. Maudhui ya kozi hizi...