Hatua kwa hatua jinsi ya kutuma maombi katika mfumo wa ajira za Walimu Tamisemi mfumo wa Online OTEAS katika nafasi za kazi zilizotangazwa 694 leo Asubuhi na mapema kwa walimu wa shule za msingi waliomaliza kuanzia 2015 mpaka 2023.
Tuma maombi hapa katika mfumo wa ajira Tamisemi...
Huu hapa mfumo wa kutuma maombi ajira mpya za walimu Tamisemi OTEAS kada za ualimu katika nafasi za kazi 964 zilizotangazwa leo kwa shule ya msingi.
Tuma maombi yako katika mfumo hapa.
https://ajira.tamisemi.go.tz
Huu hapa mfumo wa ajira za kujitolea za walimu Tamisemi OTEAS kada za ualimu katika nafasi za kazi zilizotangazwa leo kwa shule za msingi ajira mpya 694.
Tumia huu mfumo kutuma maombi.
https://ajira.tamisemi.go.tz
Huu hapa mfumo wa maombi ya ajira za walimu Tamisemi OTEAS kada za Ualimu katika ajira za kujitolea nafasi za kazi zilizotangazwa 694 leo.
Tuma kupitia mfumo huu wa ajira.
https://ajira.tamisemi.go.tz
Hili hapa tangazo la Nafasi 694 za Kujitolea Walimu Tamisemi kada za Ualimu kujaza ajira mpya hizi.
Pakua hapa PDF.
https://docs.google.com/document/d/1B5YsCBrFGf1-G_3mOEqe8TBo4lbK5PigOjNjUmY_sm4/edit?tab=t.0
Hili hapa tangazo la nafasi za kujitolea katika shule za msingi kwa kada ya elimu chini ta mradi wa GPE - TSP TAMISEMI leo
Mradi wa Kuboresha Kada ya Ualimu (Global Partnership for Education Teacher
Support Programme – GPE - TSP) kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali
za Mitaa (OR –...