ligi kuu bara 2024/2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. Siku Ya Mchezo: Young African's vs Singida Fountain Gate Leo 29 December Nbc PL 2024/2025.

    Siku Ya Mchezo: Young African's vs Singida Fountain Gate Leo 29 December Nbc PL 2024/2025.

    Leo Jumapili ya mwisho Kwa Mwaka huu 2024, itakwenda kushereheshwa na mechi kubwa kabisa ya Ligi kuu Nbc PL Tanzania kati ya Mabingwa watetezi na wawakirishi pekee wa Tanzania kunako michuano ya kilabu bingwa Africa CAFCL, Yanga Dhidi ya Singida Fountain Gate katika uwanja wa KMC Complex Dar es...
  2. G

    Msimamo NBC Premier league 2024/2025 PL - Ligi Kuu Tanzania Bara

    Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara ni moja ya ligi maarufu zaidi barani Afrika, ikivutia mashabiki wengi wa soka ndani na nje ya Tanzania. Ikiwa unapenda kufuatilia maendeleo ya timu unazozishabikia, kama Simba SC na Yanga SC, au unataka kujua nafasi za timu kwenye msimamo wa ligi, uko mahali sahihi...
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom