Yanga imeonyesha kuwa haina mchezo inapokuja suala la mafanikio, kwani klabu hiyo imefanya maamuzi makubwa ya kumtenga aliyekuwa kocha wao, Miguel Gamondi, na kuanza rasmi mchakato wa kumnasa kocha wa Algeria, Kheireddine Madoui, anayefanya kazi na CS Constantine. Madoui anajulikana kwa...