Hii hapa orodha ya majina ya Walimu walioitwa kwenye Mafunzo Somo la Elimu ya Biashara 2025 aasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa kushirikiana na Shirika la Educate! inatarajiakutoa mafunzo kwa walimu wa ajira mpya na kuripoti katika vituo vyao vya kazi mpakasasa wapatao 1,571 kufundisha Somo la...