Hii hapa Orodha ya Majina ya walioitwa kwenye Usaili Mkoa wa Geita | Ajira za Shirika la ICAP november 2024, Katibu Tawala Mkoa wa Geita anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote, kupitia tangazo la tarehe 19 Novemba 2024, kuwa usaili unatarajiwa kufanyika tarehe 03 Disemba 2024. Usaili huo...
Dar Es Salaam: JSC imetangaza orodha ya majina ya walioitwa kazini leo pia waliopata kibali cha ajira Kufuatia kukamilika kwa usaili wa kada mbalimbali zilizotangazwa na Tume ya Utumishi wa Mahakama tarehe 05 Julai, 2024, Katibu wa Tume ya Utumishi wa Mahakama anawatangazia waombaji wafuatao...