Mfumo wa Maombi ya Ajira Tume ya Utumishi wa Mahakama Tanzania (JSC) inawatangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapa chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao wako tayari kufanya kazi Mahakama ya Tanzania katika Mikoa na Wilaya mbalimbali kuleta maombi yao ya kazi.
Tuma maombi hapa...
Huu hapa Mfumo wa Maombi ya Vyuo Udahili wa Pamoja (CAS) 2025 Tangazo la Kujiunga na Vyuo vya Afya na Sayansi Shirikishi kwa Mwaka wa Masomo 2025/2026 Mwisho wa Kutuma Maombi ya Mzunguko wa Kwanza: Tarehe 11/07/2025.
Mambo Muhimu ya Kuzingatia:
Hakikisha unatumia barua pepe (email) inayofanya...