Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Vitendo TATC, TIE, NIT December 2024, yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Tanzania uliofanyika tarehe 9 Desemba 2024, orodha kamili ya majina yapo chini hapa. Pia unaweza kuona katika akaunti yako ya Ajira portal.
Usaili wa Vitendo TATC, TIE, NIT
ARTISAN...
Hizi hapa Mbinu za kufaulu Usaili 2025 katika Ajira zote zinazo tangazwa na Serikali kupitia Utumishi wa Umma, Makampuni, Mashirika mbalimbali, Taasisi.
Maswali ya usaili kuhusu utendaji wa mtaa yanahusiana na masuala ya maendeleo, changamoto, na mikakati ya kuboresha huduma katika jamii. Haya ni baadhi ya maswali ambayo yanaweza kuulizwa:
1. Maswali Kuhusu Maendeleo ya Mtaa:
Ni miradi gani ya maendeleo umeongoza au kushiriki katika mtaa wako...
Haya hapa Maswali ya Usaili Watendaji wa Vijiji na Mitaa | Mtendaji wa kijiji na Mtaa unayoweza kutana nayo katika saili mbalimbali za utumishi na ajira portal.
Tangu mwaka 1984, Serikali iliporejesha Mfumo wa Serikali za Mitaa, jitihada kubwa zimekuwa zikifanyika katika kujenga mfumo imara wa...
Haya hapa Maswali ya Usaili NMB Bank Aptitude Test.
Aptitude test ni aina ya mtihani ambao hutumiwa kupima uwezo wa mtu kufikiri, kutatua matatizo, na kufanya maamuzi kwa haraka katika mazingira ya kazi. Katika nafasi za Contact Centre Agent NMB Bank, aptitude test inatumika kupima ujuzi na...