Ajira Portal, Haya hapa Matokeo ya Usaili wa kuandika Uliofanyika Tarehe 05 Januari 2025.
AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI DARAJA LA II
AFISA USAFIRISHAJI DARAJA LA II (TRANSPORT OFFICER II)
Haya hapa matokeo ya usaili Ajira Portal wa kuandika ulifanyika tarehe jana tarehe 04/01/2025
Sekretarieti ya Ajira Utumishi
Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)...
Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Kuandika Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) na Chuo cha Maji December 2024 yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma uliofanyika siku ya jana tarehe 14 Disemba 2024.
Mwongozo: Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na...
Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Vitendo TATC, TIE, NIT December 2024, yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Tanzania uliofanyika tarehe 9 Desemba 2024, orodha kamili ya majina yapo chini hapa. Pia unaweza kuona katika akaunti yako ya Ajira portal.
Usaili wa Vitendo TATC, TIE, NIT
ARTISAN...
Haya hapa Matokeo ya Usaili Ajira Portal na Utumishi wa Kuandika UDSM, NIT, TMA, yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Tanzania uliofanyika tarehe 7 Desemba 2024, orodha kamili ya majina ya waliotwa kuendelea na usaili na waliofaulu yapo chini hapa.
Angalizo: Wasailiwa wote waliochaguliwa...
HAYA HAPA MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA SHIRIKA LA NYUMBU (TATC) ULIOFANYIKA TAREHE 06/12/2024
Mwongozo:
Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili., Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates), Wasailiwa wote...
HAYA HAPA MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT) ULIOFANYIKA TAREHE 04/12/2024
Mwongozo:
Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili., Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)...
HAYA HAPA MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI (MoCU) ULIOFANYIKA TAREHE 03/12/2024 KUTOKA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA.