Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Vitendo UDSM, TMA December 2024 kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili, Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) Wasailiwa...
Haya hapa Matokeo ya Usaili Ajira Portal na Utumishi wa Kuandika UDSM, NIT, TMA, yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Tanzania uliofanyika tarehe 7 Desemba 2024, orodha kamili ya majina ya waliotwa kuendelea na usaili na waliofaulu yapo chini hapa.
Angalizo: Wasailiwa wote waliochaguliwa...