Leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Zanzibar Dkt. Rashid Abdul-azizi Mukki akitoa taarifa ya ufaulu wa kimasomo Katika Mtihani wa Taifa wa Darasa la Saba kwa Mwaka 2024.
Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Zanzibar Dkt. Rashid Abdul-azizi Mukki leo tarehe 30/12/2024...