Hili hapa tangazo la Nafasi 20 za Ajira Afisa Mauzo kutoka kampuni ya platinum credit kwa Watanzania wote wenye sifa. Wanahitajika kutuma maombi na kujaza ajira mpya hizi. Hivyo wahi sasa na utume maombi mapema 7/05/2025.
Tuma maombi kwenda
[email protected]