Baraza la Habari Tanzania (MCT) ni chombo huru, cha hiari, na kinachojisimamia chenyewe, chenye lengo la kukuza uhuru wa vyombo vya habari na kuhakikisha viwango vya juu vya kitaaluma na uwajibikaji wa vyombo vya habari katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
MCT inatekeleza Mkakati wake wa...