mechi ya simba leo

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. Msimamo Wa Kundi La Simba Sports Club Kundi A TotalEnergiesCAFCC 2024/2025

    Msimamo Wa Kundi La Simba Sports Club Kundi A TotalEnergiesCAFCC 2024/2025

    Huu hapa msimamo wa kundi la Simba sports club Katika Michuano ya Kombe la shirikisho barani Africa CAFCC. Simba akiwa anaongoza kundi hilo akiwa na points Tisa na michezo minne huku bravo do Maquis wakifuatia nafasi ya pili akiwa na alama Sita sawa na Cs Constantine wakiwa wamecheza michezo...
  2. Simba Yaanza Mazoezi Nchini Tunisia Leo 02 January 2025.

    Simba Yaanza Mazoezi Nchini Tunisia Leo 02 January 2025.

    Kikosi cha Simba Sports Club kimefanya mazoezi ya kwanza nchini Tunisia tayari kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika 𝗧𝗼𝘁𝗮𝗹𝗘𝗻𝗲𝗿𝗴𝗶𝗲𝘀𝗖𝗔𝗙𝗖𝗖 dhidi ya CS Sfaxien🇹🇳 utakaopigwa Jumapili Januari 5. Mazoezi hayo yamefanyika katika Uwanja wa nje wa Olympique De R – Tunis ambao...
  3. Mchezo Umetamatika: Simba sc 1 vs 0 Jkt Tanzania, Nbc Premium league 2024/2025.

    Mchezo Umetamatika: Simba sc 1 vs 0 Jkt Tanzania, Nbc Premium league 2024/2025.

    Performance bora kutoka kwa kipa Wa JKT,Yakoub Suleiman🙌 Kipindi cha kwanza amefanya saves Za kutosha ila ile ya kichwa cha Ateba inaweza kuwa Save bora ya mwaka. Jamaa yuko active Muda wote,anasoma vizuri movement Za Wachezaji Wa Simba kabla hawajapiga. Simba iliwabidi kutumia njia mbadala...
  4. Siku Ya Mchezo: Simbasc vs Jkt Tanzania Leo 24 December 2024, Nbc Premium league.

    Siku Ya Mchezo: Simbasc vs Jkt Tanzania Leo 24 December 2024, Nbc Premium league.

    Leo saa 10 jioni kikosi Cha Simba sports club kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili JKT Tanzania katika muendeleo wa Ligi Kuu ya NBC. Hapana shaka mchezo wa leo utakuwa mgumu kutokana na JKT kuundwa na nyota wengi wazoefu ambao walicheza kwenye kikosi cha Simba sports club kwa nyakati...
  5. G

    Habari za Michezo Simba SC Kuwakabili CS Constantine: Vita ya Kudhibiti Brahim Dib

    Simba SC wanajiandaa kwa mechi muhimu ya CAF Confederation Cup dhidi ya CS Constantine ya Algeria, huku macho yote yakiwa kwa kiungo mahiri Brahim Dib. Dib amekuwa moto msimu huu, akifunga mabao matano kwenye mechi 11 za ligi, pamoja na hat-trick ya kuvutia dhidi ya JS Kabylie, na pia kufunga...
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom