Mafanikio ya mwanafunzi yanaweza kueleweka kama uwezo wa mwanafunzi kufikia malengo yake yakujifunza na kukuza ujuzi muhimu kwa maisha ya baadae.asilimia kubwa ya wanafunzi wa sekondari na vyuo vikuu uweka juhudi nyingi katika kusoma na kufaulu mitihani yao wakiwa na imani kuwa hatma ya...