Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka Benjamin William Mkapa Foundation (BMF) Novemba 2024 | Ajira Mpya zilizo tangazwa siku ya leo tarehe 8 Novemba 2024.
Benjamin William Mkapa Foundation (BMF) ni Taasisi isiyo ya faida, iliyoanzishwa mwaka 2006 kwa lengo la kuhakikisha afya na ustawi kwa wote...