Hatua kwa hatua Udahili wa Vyuo NACTVET Jinsi ya kuhakiki NECTA Je! wewe ni mwanafunzi uliyedahiliwa katika vyuo vya kati kwa ngazi ya astashahada na stashahada?
Kama jibu ni ndiyo, Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linakusisitiza kuhakiki udahili wako kwa...
Hatua kwa hatua Jinsi ya Kuomba AVN NACTVET | Namba ya Utambulisho wa Tuzo (AVN) 2025/2025 kutoka Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi.
Jinsi ya Kuomba AVN
Tembelea tovuti ya NACTVET: Fungua kivinjari chako na uandike www.nactvet.go.tz
Tafuta sehemu ya kuomba AVN: Bofya...