Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi Maersk December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye sifa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo.
Maersk ni kampuni ya usafirishaji wa mizigo inayolenga kuunganisha na kurahisisha minyororo ya usambazaji kwa wateja wake...