Nafasi za kazi 60 Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya linamiliki na kuendesha taasisi za Afya katika Mikoa ya Mbeya na Songwe. Jimbo linayo furaha kutangaza nafasi za kazi kwa watanzania wote wenye sifa stahiki zilizoanishwa hapa chini watakao fanya kazi katika Vituo vifuatavyo: Kituo cha Afya Chitete...
ajira
ajira jimbo kuu katoliki la mbeya
ajira mpya jimbo kuu katoliki la mbeya
ajira tanzania
ajira zaafya
jimbo kuu katoliki la mbeya
nafasizaafyanafasiza kazi jimbo kuu katoliki la mbeya
Hizi hapa Nafasi za Ajira 400 za Mkataba kwa Kada za Afya December 2024/2025 | Ajira Mpya Tamisemi 2024. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na Wizara ya afya inaendelea na utekelezaji wa mpango wa uwekezaji katika afya ya mama na mtoto nchini Tanzania yaani...
Hili hapa Tangazo la nafasi za kazi kutoka Bariadi November 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi amepokea kibali cha ajira mpya katika mwaka wa fedha 2023/2024 chenye Kumb.Na FA.97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya...
Nafasi za kazi serikalini hutangazwa kila mwaka kwa lengo la kuongeza nguvu kazi na kuhakikisha utoaji wa huduma kwa jamii unakuwa bora zaidi. Kwa mwaka 2024, nafasi hizi zimeongezeka kutokana na kuimarishwa kwa sekta mbalimbali kama afya, elimu, na usimamizi wa miradi. Nafasi hizi zimetolewa...
Kutoka sekretarieti ya ajira Kama una nia ya kutuma maombi basi zimetangazwa Nafasi 123 za Ajira Mpya Kutoka Utumishi (PSRS) Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kuwania nafasi za kazi zilizo ainishwa hapa chini kwa watanzania wote wenye sifa.
Nafasi zilizo tangazwa
Nafasi na...
Ajira Mpya, Maombi yanakaribishwa kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uzoefu kwa ajili ya nafasi ifuatayo iliyotangazwa na Ubalozi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa:
Waombaji wanapaswa kuwa na angalau uzoefu wa miaka 10 wa kuongezeka kwa majukumu, huku angalau miaka 3 ya uzoefu ikiwa katika...
Ajira Mpya: Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwananyamala anawatangazia watanzania wenye sifa ya kuomba na kujaza nafasi sitini (60) za ajira ya Mkataba wa kujitolea, kuleta maombi yao. Nafasi za kazi zinazotangazwa ni:
Nafasi zilizo tangazwa
DAKTARI II - Nafasi 13
Mwombaji...